Kufuatia vita inayoendelea baina ya mataifa ya Marekani, Israel na Iran, athari zimeanza kuonekana katika eneo la usafiri wa anga na upatikanaji wa bidhaa kwa wafanyabiashara nchini.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)