Ni simanzi na majonzi kwa ndugu na jamaa wa Athumani Nyanza, kijana anayedaiwa kuuawa na mwili wake kufukiwa katika shimo kando ya nyumba yake iliyopo mtaa wa Lubakaya, Chanika – Dar es Salaam.

Ndugu hao wamedai walifukua mwili huo baada ya wao na majirani kuona shimo hilo, huku baadhi wakimtuhumu mwenza wa Athumani kuhusika na tukio hilo, kama anavyosema Joseph Mpangala.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *