TAIFA STARS | Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo kimefanya mazoezi yake ya kwanza katika viwanja vya Gymghana Dar es salaam kujiandaa na michezo ya FIFA Series itakayofanyika nchini Rwanda hivi karibuni.

Katika mazoezi hayo, kocha Miguel Gamondi ameeleza hali ya kikosi huku akiwataja baadhi ya wachezaji anaowakosa..

Nao wachezaji Bakari Mwamnyeto na Novatus Dismas wanaeleza jinsi walivyojiandaa pamoja na matarajio yao kwenye michuano hiyo…

Idrisa Rajabu anakuja na taarifa ya kina..

#FIFASeries #TaifaStars

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *