FIFA SERIES | Baadhi ya wanahabari walioko Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya FIFA Series wanaeleza kuridhishwa na mapokezi huku wakitoa tathmin kuhusu vikosi vya timu zao pamoja na hali ya ushindani wanayoitarajia.

Michuano hii inaanza kutimua vumbi Machi 26 na itakuwa mbashara kupitia Azam Sports.

✍️ @amosimasokotz

#FIFASeries #FIFASeries2026

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *