ALLY KAMWE: “…. Yanga itarudi kutoa kichapo”.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amefafanua sababu za kumuongeza Abdihamid Moalin kuwa kocha msaidizi, akiweka wazi kuwa uamuzi huo ni pendekezo la kocha wao mkuu, Pedro Goncalves’

Kamwe pia amezungumzia ratiba yao ya mazoezi kipindi hiki cha mapumziko ya FIFA, na maandalizi kuelekea mechi zijazo huku akituma ujumbe kwa Tanzania Prisons

✍️ @amosimasokotz

#YangaSC #AllyKamwe

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *