FIFA SERIES | “….Yusuph Kagoma tumemuacha Dar es Salaam”

Kikosi cha wachezaji 23 wa Taifa Stars kimewasili salama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda, tayari kwa maandalizi ya michezo ya FIFA Series.

Afisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo anaweka wazi wachezaji walioshindwa kusafiri na timu, pamoja na matarajio ya benchi la ufundi kutoka kwenye mashindano hayo.

Michuano hii inaanza kutimua vumbi Machi 26 na itakuwa mbashara kupitia Azam Sports.

Kupitia kipindi cha #Mshikmshike Gift Macha anaripoti LIVE kutoka Kigali

✍️ @amosimasokotz

#FIFASeries2026 #FIFASeries #TaifaStars

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *