FIFA SERIES | RWANDA

“…kama mnavyonijua mimi ni mshindani, napenda kupata matokeo mazuri”

Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi anaeleza jinsi atakavyoitumia michuano ya FIFA Series kama sehemu ya maandalizi kuelekea AFCON 2026, huku akisisitiza kuwa anaingia kupambana kusaka matokeo ya ushindi ili kikosi kiimarike zaidi.

Naye golikipa Aishi Manula anazungumza kuhusu faida za mechi hizo na uzoefu walioupata kutoka kwenye FIFA Series ya Azerbaijan.

Tanzania vs Liechtenstein ni saa 11:30 jioni LIVE #AzamSports1HD.

#FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #Liechtenstein #Tanzania #LiechtensteinTanzania #TaifaStars

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *