MZIZIMA DERBY: “….tumewafunga mara mbili msimu huu”

Azam FC imerejea rasmi mazoezini huku ikianza kuzitupia jicho mechi mbili zijazo kwenye Ligi Kuu ya NBC ikiwemo Mzizima Derby dhidi ya Simba SC itakayopigwa Aprili 05, 2026.

Afisa habari wa klabu hiyo, Hasheem Ibwe anasema licha ya “kuwapasua” Simba mara mbili mfululizo, wataingia kwenye mchezo huo kwa kuwaheshimu na kuwachukulia kuwa ni wakubwa.

✍️ @amosimasokotz

#MzizimaDerby #AzamFC #HasheemIbwe

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *