Baadhi ya wadau wa sekta binafsi nchini wameonesha wasiwasi kuhusu utekelezaji wa mpango rasimu ya awamu ya pili ya mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji yaani MKUMBI.

Joseph Mpangala amehudhuria mkutano wa wadau wa biashara uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *