Kwa saa moja kila mwaka Dunia huzima taa kuanzia katika majengo makubwa ya miji hadi nyumba ndogo za vijijini kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kutunza sayari yetu.
Tukio hili huitwa ‘Earth Hour’ na leo tunakusogezea hapa.
Imeandaliwa na Faraja Samo.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)