Safari za majahazi kati ya Tanzania Bara na Zanzibar zimepangiwa ratiba maalumu ili kuendana na tahadhari ya hali ya upepo kufuatia mabadiliko ya hali ya hewa.
Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar (ZMA) imesemna kwa sasa kumekuwepo na upepo wa kusi ambao wakati mwingine huatarisha usalama wa wasafiri.
Mtumwa Saidi amezungumza na ZMA.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)