Tetesi za soka Ulaya: Bayern yakataa ofa ya Liverpool ya £170m kwa Olise
Bayern Munich wanataka kumbakiza Michael Olise licha ya kuvutiwa na Liverpool ambao wanaweza kutoa dau la zaidi ya pauni milioni 170. Wakati huo huo, Manchester United wanajiandaa kuwasilisha ofa rasmi…