Simba, Yanga zitakavyonogesha Kombe la Muungano 2026
WAKATI za Yanga na Simba zikiwa miongoni mwa timu shiriki za Kombe La Muungano 2026, imeelezwa uwepo wao utaleta ushindani na kuongeza hadhi kwa mashindano hayo.
WAKATI za Yanga na Simba zikiwa miongoni mwa timu shiriki za Kombe La Muungano 2026, imeelezwa uwepo wao utaleta ushindani na kuongeza hadhi kwa mashindano hayo.
WAKATI jana mashabiki wa Simba wakifurahia sare ya mchezo wa TRA United dhidi ya Yanga, leo Alhamisi ikawa zamu ya wenzao kushangilia baada ya wekundu hao kulazimishwa sare ya bao…
Moyo wa Elieshi Ndetaulwa ulivunjika baada ya mpenzi wake kumtambulisha mwanamke mpya, hali iliyoibua wasiwasi baada ya miaka tisa pamoja na watoto watatu.
Moyo wa Elieshi Ndetaulwa ulivunjika baada ya mpenzi wake kumtambulisha mwanamke mpya, hali iliyoibua wasiwasi baada ya miaka tisa pamoja na watoto watatu.
DAKIKA 1530 katika mechi 17 za Ligi Kuu Bara msimu huu alizocheza beki wa kati wa Namungo FC, Hussein Kazi, amesema zimemwongezea kitu kikubwa, tofauti na msimu uliopita akiwa Simba…
#HABARI: Wanachama wa kikundi cha "Asante Mbeya" wamezua gumzo jijini Mbeya baada ya kupita mitaani na gari la matangazo wakishangilia kufanikiwa kurejesha mali zao, ikiwemo magari matatu, zilizokuwa zimechukuliwa isivyo…
Katika hatua inayotarajiwa kubadili mwelekeo wa ubora wa elimu nchini, Serikali inatarajia...
#MALUMBANOYAHOJA: NINI KIFANYIKE BODABODA ZITUMIKE KAMA FURSA BADALA YA KUGEUKA JANGA KWA WAHUSIKA NA JAMII?
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Mkenya, David Ouma amesema kukosekana kwa kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Marouf Tchakei, ni pigo kubwa kwa timu hiyo, ingawa ni nafasi pia nyingine…
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichokipata Tanzania Prisons dhidi ya Singida Black Stars juzi kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kimemwibua kocha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, baada ya kukiri…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TABORA, MACHI 19, 2026
MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho msimu huu katika Ligi Kuu Bara, lakini bado wana nafasi ya kubadilisha upepo mbaya unaowaandama, kutokana…
CHINA: THE Tanzanian government has agreed to establish and strengthen cooperation with China’s Shandong Province in industry, mining, agriculture, and tourism. The Minister of State in the President’s Office –…
MSHAMBULIAJI Mtanzania, Cyprian Kachwele amejiunga na Halifax Wanderers FC ya Ligi Kuu Canada kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Whitecaps FC 2.
Katika kipindi hiki cha mvua, ili kujikinga na radi unapaswa kuepuka kukaa chini ya miti.
Aliyekuwa rais wa LSK Faith Odhiambo amesimulia jinsi alivyokutana na mumewe na kubainisha kuwa marafiki zao wawili walianzisha hatua ambayo ilipelekea ndoa tamu.
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa zaidi ya asilimia 30, baada ya Rais wa Marekani, Donald...
Bei ya gesi barani Ulaya imepanda kwa zaidi ya asilimia 30, baada ya Rais wa Marekani, Donald...
#HABARI: Jamii imeaswa kuwalinda watoto ili wasifanyiwe vitendo vya ukatili ambavyo vimekithiri katika baadhi ya maeneo Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Akizungumza katika mashindano ya kusoma qurani Kata ya Vikindu…
MWENYEKITI wa timu ya Uhamiaji inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Ali Juma Abdulkadir amesema kipindi cha mapumziko kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimewafanya wachezaji kupumzisha miili yao.
Siku moja baada ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi kuwasilisha...
DAR ES SALAAM: WHEN the lights dim and anticipation fills the room, few performers command attention quite like Asmah Majed, popularly known by her stage name Asmaah Jamida. With sharp…
Mbunge Babu Owino amepuuzilia mbali madai kwamba anawania kiti cha katibu mkuu wa ODM, akisisitiza kuwa anataka tu nafasi ya kiongozi wa chama cha Chungwa
Huwezi kuamini baba mzazi anaweza kufanya haya, lakini ushahidi uliotolewa umethibitisha hilo...
Ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China umeendelea kuimarika, huku nchi hizo mbili...
LINDI: THE Minister of Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, has announced that a total of 1.2 million trees have been planted in Lindi Region as part of the…
Mfanyabiashara Bosco Ssenyonjo na wanawe wawili walifariki katika ajali ya barabarani. Mzozo kati ya mjane na mamake ulichelewesha mazishi yao huku korti ikiingilia
🔥 SIRI ZAKO ZIKO SALAMA KWELI… AU ZINASUBIRI UGOMVI? Kuna watu wanajua kila kitu kukuhusu… lakini siku mkigombana wanageuka kuwa maadui zako wakubwa 😮💨 🎬 Usikose kipindi hiki kali kinachochambua…
LINDI: THE Vice President Emmanuel Nchimbi has officially launched the International Day of Forests and the National Tree Planting Campaign 2026, warning that the rate of forest loss in the…
Wakati sekta ya Utatuzi wa Migogoro kwa Njia Mbadala (ADR) ikiendelea kukua kwa kasi duniani...
Katika juhudi za kuchochea ubunifu, utafiti na uthubutu miongoni mwa vijana, sambamba na...
Ikiwa ni takribani miezi miwili sasa tangu kampuni ya kimataifa ya taksi mtandao ya Uber...
Licha ya maendeleo ya elimu kuanza kuimarika Zanzibar, imebainika kuwa ukosefu wa usafiri kwa...
"Hiyo ni miongoni mwa sera za shirikisho la dunia kuhakikisha usawa unaendelea, katika kugawanya aina ya mchezo wa mieleka mashindano ya wanawake nayo yamengia kwenye staili sehemu ya kukuza ule…
MANYARA: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati (BAWASA) mkoani Manyara imekamilisha mradi wa maji wa Darakuta hadi Minjingu ambao utasaidia kusambaza maji kwa wananchi zaidi ya 35,000 wa…
"Mieleka kama mieleka ni mirusho na mitupo, judo ni kama ngwala kwa sababu unamshika, unatega mguu unamuangusha,"-Hashim Zongo - Mkurugenzi wa Ufundi Chama cha Mieleka Tanzania. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
MANYARA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara imekabidhi vyakula na zawadi mbalimbali kwa watoto yatima wanaoishi katika kituo cha kulelea watoto cha Hosana kilichopo wilaya…
Hebu, jaribu kufumba macho yako na faradhisha kuwa unaishi katika mwaka wa 2050. Kwa mtazamo wako dunia itakuwaje wakati huo? Mgawanyo wa nguvu umebadilika vipi?
Unakionaje kikosi cha Pamba dhidi ya Simba leo? Tupe maoni yako hapa chini, mechi ni saa 10:00 jioni.
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limesema limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa katika kipindi chote cha sikukuu ya Eid El-fitr na kuwataka wananchi kushirikiana na Jeshi…
Hali ya huzuni imeendelea kutawala katika eneo la Msongola, wilayani Ilala, jijini Dar es...
JOHANNESBURG: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Masuala ya Uchukuzi (NCT) uliofanyika katika ukumbi wa Gallagher Estate jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Mkutano huo ulifunguliwa rasmi…
Wakati Waislamu nchini wakijiandaa kusherehekea sikukuu ya Eid kati ya kesho Ijumaa au...
Leo Elie Mpanzu anaanza dhidi ya Pamba, vipi unakionaje kikosi? Tupe maoni yako hapa chini.
🔴MEZAHURU: MIELEKA....MACHI 19, 2026
JOHANNESBURG: THE Deputy Minister for Transport, David Kihenzile, has named the Standard Gauge Railway (SGR), improvements to ports, airports, and road networks, as mega projects Tanzania has achieved in developing…
Kamishna Mkuu wa Hhaki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amesema mgogoro wa Mashariki ya Kati una madhara kwa kiwango kikubwa kwa raia, akitoa wito wa juhudi zaidi…
Kivuko cha Rafah kati ya Ukanda wa Gaza na Misri kimefunguliwa tena leo Alhamisi kwa mara ya kwanza tangu kilipofungwa na Israel Februari 28, mwanzoni mwa shambulizi la pamoja la…