Furaha halisi kwa watu wa DRC ni kukoma kwa vita na amani kurejea: Raia
Katika kuelekea kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani hapo tarehe 20 Machi, wakazi wa Beni, Kivu Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, wameeleza kwamba furaha haiwezi kutokana na…