Milipuko yasikika Jerusalem huku Netanyahu akisema Israel ‘ilichukua uamuzi peke yake’ kushambulia kiwanda cha gesi cha Iran
Katika mkutano wake na wanahabari, Netanyahu alikanusha madai kuhusu uhusiano kati ya Marekani na Israel, ambao anajua unamsababishia Trump matatizo mengi.