Rwanda, Tanzania kuwa wenyeji wa michuano ya CECAFA na CAF
Baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, limeipa nchi ya Rwanda haki ya kuwa mwenyeji wa michuano minne ya ukanda katika kalenda yam waka 2026. Imechapishwa: 11/03/2026…
Baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, limeipa nchi ya Rwanda haki ya kuwa mwenyeji wa michuano minne ya ukanda katika kalenda yam waka 2026. Imechapishwa: 11/03/2026…
Leo zimetimia siku 12 tangu kuanza kwa mashambulizi ya anga Mashariki ya Kati, baada ya...
Kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya SIPRI iliyochapishwa wiki hii, uagizaji wa silaha wa Morocco uliongezeka kwa 12% kati ya mwaka 2021 na 2025 ikilinganishwa na kipindi cha 2016-2020.…
Wakati huo huo, UAE inasema mifumo yake ya ulinzi wa anga inajibu "tishio la kombora".
Tangu kuanza kwa vita kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, nchi zinazotawaliwa na wanajeshi barani Afrika zimebaki bila kuegemea upande wowote. Waziri Mkuu wa Mpito wa Mali alitoa…
Wakati mamlaka katika mji mkuu wa Kenya zikikosolewa kwa jinsi zinavyoshughulikia mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya watu 49 na kusababisha uharibifu mkubwa, hasa jijini Nairobi, gavana wa jiji hilo anajitetea…
Mahakama ya Kongo imemhukumu Jean Guy Blaise Lionel Mayolas kwa ubadhirifu na utakatishaji fedha, hasa kuhusiana na misaada iliyotolewa wakati wa janga la Covid-19. Imechapishwa: 11/03/2026 – 05:00 Dakika 1…
Siku moja baada ya ada mpya ya uendelezaji wa miundombinu ya bandari (PID) kulalamikiwa...
Soma zaidi hapa...
Wakati dunia ikiendelea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, inayoadhimishwa kila mwaka...
Mamia ya raia kwenye mji wa Tigray nchini Ethiopia, wameanza kuondoka kwenye maeneo yao kutokana na kuongezeka kwa hofu ya kuzuka kwa mapigano mapya kati ya vikosi vya Serikali na…
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
Dar es Salaam. Wakati kesho Alhamisi, Machi 12, 2026 ikiwa ni siku ya figo duniani, wataalamu...
Arsenal wana shauku ya kumsajili kiungo wa kati wa Ujerumani Julian Brandt, 29, mkataba wake wa Borussia Dortmund utakapomalizika msimu huu wa joto.
DAR ES SALAAM: Mohammed Dewji, popularly known as Mo Dewji, has continued to maintain his status as Africa’s youngest billionaire. According to the latest report by the Forbes Magazine on…
Mvua iliyonyesha kuanzia alfajiri ya leo imesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali ya jiji la mwanza na kukwamisha shughuli za usafiri. (Feed generated with FetchRSS)
NTSA inachunguza ajali ya Lugulu kwenye Barabara Kuu ya Webuye-Kitale iliyoua watu 18 baada ya trela kuwagonga waliokuwa wamefika eneo la ajali kuokoa maisha.
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imtangaza mabadiliko ya uwanja kwa ajili ya mchezo namba 30 wa Ligi Kuu ya NBC, Tanzania Prisons FC dhidi ya Young Africans SC, ambao…
Mahakama Kuu jijini Nairobi imetupilia mbali kesi ya Raphael Tuju, ikifungua njia kwa mali zaKE Karen kuuzwa kutokana na mgogoro wa mkopo wa mwaka wa 2015.
Mfuko wa Aga Khan wa Maendeleo ya Kiuchumi S.A. (AKFED), umetangaza kuingia makubaliano ya kuuza hisa zake zote (asilimia 100) kwa kampuni ya Taarifa Ltd inayomilikiwa na mfanyabishara maarufu nchini…
Georgina Njenga amekana kufufua mapenzi na Tyler Mbaya (Baha) baada ya mazungumzo yao kwenye YouTube kuhusu kulea pamoja, akifafanua kuwa uhusiano wao.
Singida: THE Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in Singida Region has recovered 119.16m/- and four vehicles after scrutinising funds used in the implementation of development projects worth 5.2bn/-.…
Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran, Brigedia Jenerali Abolfazl Shekarchi amesema baadhi ya makamanda na wanajesh wa Marekani wanawatumia raia wa eneo la Asia Magharibi kama ngao za binadamu…
NMG ni moja ya kampuni kubwa ya habari Afrika Mashariki, yenye shughuli zake nchini Kenya...
KPLC ilisema matengenezo yaliyoratibiwa Machi 11. Maeneo ya Nairobi, Uasin Gishu, Kisumu, Bungoma, Nyeri, na Kakamega miongoni mwa mengine, kutokana na matengenezo.
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametoa onyo kali akijibu vitisho vipya vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani vya kuwashambulia na kuwaua wananchi wa Jamhuri…
Aliyekuwa rais wa LSK Faith Odhiambo amemtambulisha mumewe baada ya kuweka ndoa yake kuwa ya faragha kwa miaka mingi. Wakenya walisisimka na kumfurahia.
Amedai kumekuwa na ukandamizaji wa demokrasia, uminyaji wa haki na uhuru wa vyombo vya habari.
Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha...
Tume ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS), imesema wanajeshi wake wa kulinda amani watasalia kwenye mji wa Akobo, kuwalinda raia, licha ya kutakiwa kuondoka na jeshi la serikali.…
Marekani na Israeli, zimeendelea kueteleza mashambulio mazito nchini Iran, ambayo inasema haitarudi nyuma, katika vita hivyo ambayo haijafahamika vitamalizika lini. Imechapishwa: 10/03/2026 – 15:57Imehaririwa: 10/03/2026 – 16:22 Dakika 1 Wakati…
Polisi Mkoa wa Mara walipiga marufuku kongamano la Bawacha la maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
Kiongozi wa kijeshi nchini Madagascar Kanali Michael Randrianirina, amemfuta kazi Waziri Mkuu wake na kulivunja baraza lake la Mawaziri, aliloteua baada ya kuchukua madaraka miezi mitano iliyopita, baada ya maandamano…
Ameongeza kuwa ushirikiano huo unafungua milango ya kutafuta rasilimali fedha, kuandika miradi...
Umeme unaozalishwa katika mradi huo unatajwa kusaidia kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika...
Baadhi ya wananchi jijini Tanga wameeleza hofu ya imani za kishirikina, imekuwa kikwazo kwao...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, waasi wa AFC/M23, wanasema wana mpango wa kuwaachia huru mamia ya wafungwa wa kijeshi wa serikali, wanaoshikiliwa katika maeneo wanayodhibiti. Imechapishwa: 10/03/2026 – 15:36…
Wanawake wanaojishughulisha na kilimo mkoani Tabora wamepewa zana za kilimo na pembejeo, pamoja...
DAR ES SALAAM: THE Accelerate Foundation will host the fourth edition of the Accelerate Women’s Executive Summit this Saturday, 14th March at Johari Rotana Hotel in Dar es Salaam, in…
Muungano wa mashirika yanayotetea haki za wanawake na wasichana, Tanzania Dadas Rise Coalition...
Wananchi wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, wameeleza adha wanazokumbana nazo wakati wa kuvuka...
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa mchokozi anapaswa kumtwangwa ngumi mdomoni ili apate somo na asithubutu kufikiria tena kuivamia Iran.
Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa wanaobeba dhima ya moja kwa moja ya janga la kiuchumi nchini Marekani ni Israel na waungaji mkono wake huko Washington.
Baada ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wananchi kuhusu migogoro ya ardhi nchini, Waziri...
Jamhuri katika kesi kukutwa na silaha inayomkabili, umeiomba Mahakama kufanya mabadiliko ya...
Naibu Waziri Mkuu wa Uhispania amekosoa vikali matamshi ya Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya, Ursula von der Leyen, kuhusu utaratibu wa kimataifa na kuunga mkono vita vya uvamizi dhidi ya…