Njama ya ‘genge la Netanyahu’ ya kushambulia Masjidul Aqsa kwa makombora yatibuka
Wizara ya Intelijensia ya Iran imefichua njama chafu iliyokuwa ikipikwa na genge la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ya kushambulia kwa makombora Msikiti wa al-Aqsa…