Rais Samia Suluhu Hassan amemteua msaidizi wake wa karibu, Angela Kizigha kuwa mbunge Vitu Maalum.

Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu imesema kuwa uteuzi huo umeanza leo Alhamisi Aprili 02,2026.

Kwa mujibu wa Sheria Rais ana nafasi 10 za kuteua wabunge wa Viti Maalum Ili kukamilisha idadi ya wabunge wanaopaswa kutumikia Bunge kwa kipindi cha miaka mitano awapo madarakani.

Tayari Rais Samia amemteua wabunge watano wakati akitangaza Baraza la mawaziri akiwamo Doroth Gwajima ambaye baadaye alimteua kuwa waziri.

#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *