#HABARI: Serikali mkoani Kigoma kwa kushirikiana na wadau wa afya imeanza kutoa huduma ya matibabu ya macho bure kwa wananchi mkoani humo, itakayoenda sambamba na upasuaji wa mtoto wa jicho, ugawaji wa dawa za macho na miwani huduma ambayo inatarajiwa kuwafikia watu zaidi ya elfu sita bila malipo katika kipindi hiki ambacho Wakristo wanaendelea kusherehekea Sikukuu ya Pasaka.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amesema kuwa huduma hiyo itatolewa bure bila upendeleo wowote kwa wananchi wote watakaokuwa na matatizo ya macho.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)