Katika ukuaji wa jamii yoyote duniani upendo ni nguzo muhimu ya kufanikisha maendeleo kwenye jamii.
Askofu mkuu wa KKKT, Alex Malasusa, ameliwekea hilo mkazo kwa kuisihi jamii kuwa na upendo baina ya mtu na mtu.
✍Ibrahimu Kilumbo
@richardngailla
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)