“Two wrongs doesn’t make right” umewahi kuusikia msemo huu?

Katika ujenzi wa jamii salama na imara, upendo ndio nyenzo muhimu zaidi na ili upendo uweze kutamalaki ni muhimu kusameheana badala ya kulipizana visasi pindi tunapokoseana.

Askofu Mkuu wa KKKT, Alex Malasusa anaitumia Pasaka hii kuiasa jamii na kuisihi “kupendana kwa kusameheana”.

Msikilize

✍Ibrahimu Kilumbo
@richardngailla

Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *