Katika kipindi cha mvua, nyoka wengi hulazimika kuhama kutoka makazi yao ya kawaida kutokana na maji kuharibu maficho yao, na hivyo hujikuta wakisogea karibu na makazi ya watu wakitafuta sehemu salama ya kuishi. Hali hii huongeza hatari ya watu kukutana na nyoka bila kutarajia.
Mkurugenzi Mtendaji wa TASCEA, Aldo Charles anaeleza namna ya kupunguza uwezekano wa nyoka kuingia au kuishi karibu na makazi yako.
#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
@balqis_njuki
@richardngailla
(Feed generated with FetchRSS)