#HABARI: Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar wamesema kifo raia wa Marekani, Ashly Robinson (31) kimetokana na kujinyonga katika chumba cha hoteli.
Polisi wamesema Ashly ambaye alikuwa matembezini Zanzibar, alikutwa amejitundika Aprili 8, 2026 na kuwahishwa hospitali, na alifariki akipatiwa matibabu.

(Feed generated with FetchRSS)