Mbunge wa Mtwara Vijijini, Arif Suleman Premji amehoji kusuasua kwa serikali kumuwezesha mwekezaji wa kampuni ya Soil Solution Limited kuanza kazi kutokana na kukwama kwa upatikanaji wa nishati mbadala.
Mbunge Premji amesema uwekezaji wa Dola Milioni 627 ambao ni wa kimkakati unakwama kutokana na ukosefu wa gesi asilia ambayo inapatikana mkoani humo.
Pia sikiliza majibu ya serikali.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)