“…juzi nilienda kwa Shemdoe nyumbani kwake, sikumkuta…nilikuta Watoto wake niliona sura zimefanana nikajua ni Watoto wake, lengo nilikuwa nataka nikakae na Shemdoe tuongee kifamilia kuhusiana na barabara za Kigoma Mjini, Jimbo la Kigoma mjini ndio jimbo la mjini ambalo lina barabara za vumbi kuliko jimbo lolote duniani, sio Tanzania…”-Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu Baba Levo.
#BUNGENI
(Feed generated with FetchRSS)