#HABARI: Rais William Ruto amekashifu watu wanaolinganisha gharama ya mafuta ya Kenya na ya majirani zake huku akidokeza kuwa hatua hiyo ni kwa kile alichokitaja kuwa ni kutokana na Kenya kuwa katika kiwango cha kati.Haya yanajiri huku upinzani ukionya dhidi ya maandamano ya nchi nzima kushinikiza kupunguzwa kwa bei ya mafuta.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *