Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Peter Philip MWASALYANDA kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Mhandisi Mwasalyanda ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), anachukua nafasi ya Profesa Mohammed Bakari ambaye amememaliza muda wake.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu imesema kuwa imesema kuwa uteuzi huo umefanyika leo Ijumaa Aprili 24,2026.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *