Balozi Mobhare Matinyi amepangiwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria.
Tarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu imesema kuwa uteuzi wa Balozi Matinyi ambaye alikuwa Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idada ya Habari Maelezo umetangazwa leo Ijumaa Aprili 24,2026.
Awali Balozi Matinyi alirejeshwa nyumbani kabla ya leo kupangiwa Kituo kingine cha kazi

(Feed generated with FetchRSS)