#HABARI: Vifo vya wanawake na watoto wachanga wakati wa kujifungua wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, vimepungua kutoka vifo vya watoto 17 hadi 5 na mama mmoja, hadi sifuri katika kipindi cha robo ya mwaka 2026 , baada ya serikali kuongeza kasi ya kupeleka vifaa tiba, dawa na vitendanishi katika Hospitali ya Jakaya Mrisho Kikwete ambayo ni hospitali ya Wilaya hiyo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)