Jumatano hii inapigwa fainali ya Kombe la Muungano.

Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Simba SC.

Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka mubashara kupitia AzamSports1HD.

Sasa mapema lipia kifurushi cha kisimbuzi chako ili usipitwe na mtanange huu.

#Kariakooderby #MuunganoCup

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *