Katika maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahali pa kazi yaliyofanyika mkoani Njombe, wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali wameeleza namna changamoto za kisaikolojia zinavyoweza kuathiri utendaji wa kazi na kuzorotesha afya na usalama mahali pa kazi.

Aidha, taarifa iliyotolewa na Wizara ya Kazi imebainisha kuwa zaidi ya wafanyakazi milioni mia tatu duniani kote wamekuwa wakiumia wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *