Tume ya kuchunguza matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana imetaka kuwepo kwa uwajibikaji kwa wote waliohusika katika matukio hayo, huku ikisisitiza kuwa asiwepo mtu wa kutolewa kafara, bali kila mhusika ajipime mwenyewe.

Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mohamed Chande akitoa ufafanuzi kuhusu ripoti waliyokabidhi kwa Rais Samia Suluhu Hassan mbele ya wahariri, amesema uwajibikaji unapaswa kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi taasisi, na haupaswi kufanyika kwa rejareja.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *