Vijana wanaofanya shughuli zinazohusika na mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu hususan mbao wameelezea changamoto zinazokwamisha ustawi wa shughuli zao ikiwemo kupanda kwa nishati ya mafuta pamoja na ubovu wa barabara.

Vijana hao wanadai hali hiyo inazorotesha jitihada na kuwaongezea wasiwasi wakupotea mitaji waliyowekeza.

Taarifa zaidi na Emmanuel Kalemba

Mhariri Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *