Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaendelea kutoa ushirikiano na Mamlaka zote zinazohusika na kupeleka Mahujaji kutekeleza Ibada ya Hijja na litafanyika hilo kupitia Kamisheni ya Wakafu na Mali ya Amana.
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametoa hakikisho hilo katika hafla ya kuwaaga mahujaji wanaokwenda kutekeleza Ibada hiyo kwenye Miji Mitakafu ya Makah na Madina.
Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)