Wakati hali ya bei ya mafuta ikiendelea kuchanganya vichwa vya watu kufuatia mgogoro wa kiusalama unaoendelea kati ya Iran na ushirikiano wa Marekani na Israel swali linalogonga vichwa vya wachambuzi wengi ni iwapo teknolojia ya magari ya umeme inaweza kuwa suluhisho la kudumu katika sekta ya usafiri?

Jamaly Hashim amefuatilia hilo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *