Wiki hii ‘trend’ kubwa kwenye fashion imekuwa ni ubunifu wa mfanyabiashara na mtu maarufu nchini Nigeria, Queen Mercy Atang baada ya kuvaa gauni lililotengenezwa kwa mikate 500.

Swali kubwa limekuwa kuhusu maadili ya kutumia chakula kama sehemu ya vazi lakini mwenyewe akisema ‘ni ubunifu unaolenga kutangaza biashara yake ya mikate’.

Je, mipaka ya kimaadili katika ubunifu na matangazo ya biashara inaishia wapi?

Tumezungumza na mhariri mwandamizi wa Azam Media Limited @official_faraja_samo , mbunifu na muandaaji wa matangazo @iam_fundo pamoja na mbunifu wa mavazi @adamsbrytor kufahamu mitazamo yao.

Mtangazaji wako ni Jackline Mgina
Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *