Wakazi wa Mtaa wa Mfaume, Kata ya Upanga jijini Dar es Salaam wamelalamikia hali ya kuvuja kwa majitaka kutoka kwenye mifumo ya vyoo, hali iliyosababisha maji machafu kusambaa barabarani na kuingia katika makazi ya wananchi.

Wananchi hao wanasema tatizo hilo limekuwepo kwa muda mrefu, huku jitihada za kutoa taarifa kwa mamlaka husika zikionekana kutopatiwa ufumbuzi wa kudumu.

#AzamTVupdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *