Methali ya wahenga inayosema “umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu” imejidhihirisha kwa kikundi cha vijana saba wapiga debe katika kituo cha mabasi cha Katoro wilayani Geita ambao wameunganisha nguvu na kufanikiwa kubadili maisha yao kwa kununua basi dogo la kusafirisha abiria.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)
