Zaidi ya watu 246 wameambukizwa ugonjwa wa Ebola huku zaidi ya watu 80 wakifariki dunia katika jimbo la Ituri maeneo ya Mongwalu…Zaidi ya watu 246 wameambukizwa ugonjwa wa Ebola huku zaidi ya watu 80 wakifariki dunia katika jimbo la Ituri maeneo ya Mongwalu…

Zaidi ya watu 246 wameambukizwa ugonjwa wa Ebola huku zaidi ya watu 80 wakifariki dunia katika jimbo la Ituri maeneo ya Mongwalu na Rwampara mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Aidha, nchini Uganda mtu mmoja aliyewasili kutoka Kongo ameripotiwa kufariki dunia baada ya kuthibitika kuwa na maambukizi ya Ebola jijini Kampala.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *