Jeshi la Polisi mkoani Mwanza Iinawashikilia watuhumiwa zaidi 600 kwa tuhuma za kijinai watano kati yao wakishikiliwa kwa makosa…Jeshi la Polisi mkoani Mwanza Iinawashikilia watuhumiwa zaidi 600 kwa tuhuma za kijinai watano kati yao wakishikiliwa kwa makosa…

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza Iinawashikilia watuhumiwa zaidi 600 kwa tuhuma za kijinai watano kati yao wakishikiliwa kwa makosa ya mauwaji.

Akizungumza na wandishiwa habari Kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza Naibu kamishina wa polisi Wilbroad Mtafungwa amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao katika operation iliyoanza mei mosi 2026 hadi sasa inaendelea.

Kamanda Mutafungwa ametoa ufafanuzi namna watuhumiwa hao walivyokamatwa huku wengine wakiwa na mali zinzodhaniwa kuwa ni za wizi.

Wito ukatolewa na Kamanda Mutafungwa kwa wananchi walioibiwa mali zao wafike kwenye vituo vya polisi ili kutambaua mali zao.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *