Wakati wataalamu wa afya wakiongeza juhudi za kuwasaidia wagonjwa wa fistula kukabiliana na hali hiyo sambamba na kuwapa matibabu huku elimu kuhusu vyanzo vya ugonjwa huo pia ikiendelea kutolewa kikwazo cha imani za kishirikina zinaibuka na kuonesha kuwa ‘kunahitajika mbinu mbadala’ ya kuwasaidia wanawake wenye fistula.
Tumie Omaryu ameangazia Siku ya Fistula Duniani kutokea Dar es Salaam.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)
