Katika jiji la Kisumu nchini Kenya, nywele zilizokuwa zikitupwa mitaani na kuchafua mazingira sasa zimegeuka kuwa chanzo cha ubu…Katika jiji la Kisumu nchini Kenya, nywele zilizokuwa zikitupwa mitaani na kuchafua mazingira sasa zimegeuka kuwa chanzo cha ubu…

Katika jiji la Kisumu nchini Kenya, nywele zilizokuwa zikitupwa mitaani na kuchafua mazingira sasa zimegeuka kuwa chanzo cha ubunifu na kipato baada ya kundi la wanawake kuzisuka na kutengeneza mikeka pamoja na mazulia yanayosaidia kuhifadhi mazingira ya Ziwa Victoria huku yakibadili maisha yao ya kila siku.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *