Bondia maarufu raia wa Marekani, Terence Crawford ameendelea na ziara yake hapa nchini kwa kutembelea na kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii sambamba na kuhamasisha maendeleo ya mchezo wa ngumi nchini.
Katika mwendelezo wa ziara hiyo, Crawford ametembelea vivutio vya ukanda wa Kaskazini mwa Tanzania ambapo amefika Hifadhi ya Taifa Tarangire mkoani Arusha na kupata fursa ya kujionea vivutio vya asili pamoja na wanyamapori wanaopatikana nchini.
Mwanamichezo wetu Ramadhan Mvungi anatuhabarisha zaidi.
Mhariri | @rajjmsangi
#TerenceCrawford #Ngumi
(Feed generated with FetchRSS)
