TFF | Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameliambia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa milango ipo wazi kwa shi…TFF | Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameliambia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa milango ipo wazi kwa shi…

TFF | Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameliambia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa milango ipo wazi kwa shirikisho hilo kumuona kwa usaidizi wowote wakati huu wa maandalizi ya AFCON 2027.

Chalamila ameyasema hayo katika ziara yake katika ofisi za TFF aliyofanya mapema wiki hii.

Mhariri | @rajjmsangi

#TFF

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *