Mwenyekiti wa Baraza la Wasafirishaji Shehena Tanzania, Clement Kamendu, amesema ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya bandari kwa …Mwenyekiti wa Baraza la Wasafirishaji Shehena Tanzania, Clement Kamendu, amesema ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya bandari kwa …

Mwenyekiti wa Baraza la Wasafirishaji Shehena Tanzania, Clement Kamendu, amesema ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya bandari kwa kutumia rasilimali za ndani haukwepeki ili kukidhi ongezeko la mizigo nchini.

Amesema hatua hiyo ni muhimu katika kuhakikisha sekta ya usafirishaji inaendana na kasi ya ukuaji wa uchumi na biashara.

Akizungumzia kwa ufupi tozo ya maendeleo ya bandari, amesema kupunguzwa kwake kumetoa nafuu kwa wadau na muda wa kujiandaa kabla ya kuanza kutumika Julai Mosi, 2026.

Kamendu ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na serikali katika kuendeleza miundombinu hiyo muhimu.

Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *