#BAL2026 Nusu fainali ya kwanza imekwisha… wenyeji RSSB Tigers ya Rwanda inatinga fainali, na Al Ahly ya Misri inaaga mashindano.
HT: Al Ahly 97-106 RSSR Tigers
Kesho Mei 28 ni Petro de Luanda ya Angola dhidi ya Al Ahli ya Libya.
Hii utaitazama LIVE #AzamSports1HD
#BAL2026 #BAL #Basketball

(Feed generated with FetchRSS)
