AFCONU17 | Serengeti Boys wameandika historia nyingine kwenye michuano ya #AFCONU17 kutinga fainali baada ya kuitoa Misri kwa mi…AFCONU17 | Serengeti Boys wameandika historia nyingine kwenye michuano ya #AFCONU17 kutinga fainali baada ya kuitoa Misri kwa mi…

AFCONU17 | Serengeti Boys wameandika historia nyingine kwenye michuano ya #AFCONU17 kutinga fainali baada ya kuitoa Misri kwa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 za mchezo wa nusu fainali uliopigwa nchini Morocco.

#HongeraSerengetiBoys #Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *