AZAMFC : ”…Feisal ameendelea kuthibitisha ubora wake mara zote…”, Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe akizungumzia kiwang…AZAMFC : ”…Feisal ameendelea kuthibitisha ubora wake mara zote…”, Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe akizungumzia kiwang…

AZAMFC : ”…Feisal ameendelea kuthibitisha ubora wake mara zote…”, Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe akizungumzia kiwango cha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo, Feisal Salum.

Aidha, Ibwe amesema klabu hiyo inajivunia kuwa na mchezaji wa kiwango cha juu kama Feisal ambaye ameendelea kuwa tegemeo muhimu katika safu ya ushambuliaji ya timu hiyo.

Kuhusu taarifa zinazomhusisha kocha Florent Ibenge na kuondoka ndani ya Azam FC, Ibwe amesema hadi sasa klabu hiyo haijapokea maombi yoyote rasmi kutoka kwa timu nyingine yanayomhitaji kocha huyo.

Mhariri | @rajjmsangi

#AzamFC #Mshikemshike

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *