SERENGETI BOYS: ”ni mechi ngumu, lakini tumefuata maelekezo ya Kocha wetu”, Issa Chole akizungumzia mchezo ambao umemalizika u…SERENGETI BOYS: ”ni mechi ngumu, lakini tumefuata maelekezo ya Kocha wetu”, Issa Chole akizungumzia mchezo ambao umemalizika u…

SERENGETI BOYS: ”ni mechi ngumu, lakini tumefuata maelekezo ya Kocha wetu”, Issa Chole akizungumzia mchezo ambao umemalizika ukiwapeleka hatua ya fainali kwenye michuano ya #AFCONU17 baada ya kuitoa Misri kwa mikwaju ya penalti 4-3.

Kwa upande wake Kocha wa timu ya Taifa ya wavulana U17 @serengetiboystz , Elieneza Nsanganzelu amesema wachezaji wake wameonesha uwezo mkubwa kwa kutoruhusu kufungwa hadi kwenye mikwaju ya penati.

Mhariri | @rajjmsangi

#Mshikemshike #Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *