Mwanasaikolojia Milton Tunge amesema kuwa mtu anayependa kazi au jambo analolifanya huwa na tabia ya kuheshimu muda, kutokana na hamu yake ya kuona kazi hiyo inakamilika kwa wakati.
Amesema hali hiyo hutokana na mazoea chanya anayojijengea mtu mwenye mapenzi na kile anachokifanya, jambo linalomsaidia kuwa na nidhamu ya muda na umakini katika utekelezaji wa majukumu yake.
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @rajmsangi
@mercy.mbaya
@david_wakarungi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)